Msaada: wapi nitapata ufadhili wa kuchapa kitabu?

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Wadau naomba msaada wenu jins ya kuweza kuchapa kitabu ambacho ni msaada mkubwa kwa O'level. Kipo hatua za mwisho, lakini tatizo nililonalo ni pesa ya uchapishaji. Mwenye namna yeyote ya kunifanya nifanikiwe katika hili anitafute kwa 0719193149
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom