Msaada-wapi nitapata king'amuzi cha easy tv

Hebu tembeleeni hii thread itajibu baadhi ya maswali yenu ingawa si yote https://www.jamiiforums.com/tech-ga...1342-startimes-vs-ting-ushauri-tafadhali.html

Gharama ya king'amuzi kikiwa na antena yake ni sh 160,000 kufunga ni rahisi ukitaka fundi akufungie unaongeza 20,000
Malipo kwa mwezi ni 10,000.

Channel ngapi na zipi unapata sijui, what i know ni kuwa unapata channel zote za kibongo ikiwemo clouds imeongezwa hivi karibuni,pamoja na channel za majirani zetu kenya na uganda. Pia zipo channel za nje ambazo sinahakika nazo ikiwemo za movies, music,sports,documentary,cartoons etc

kwa wapenda footbal sidhani kama provider hawa wa sh 10,000 kwa mwezi wanaweza kuaford kuonyesha mipira ya maana hasa ligi, labda ubahatishe champion kupitia atn, kbc nk

Thnx you Pauss
 
well then kutokana na maelezo yako ikiwa ndio hivyo ilivyo then i see no difference na hawa wachina wa TBC au ATN..... kwani mostly chanell kwa malipo wanayochaji hawa startimes na channelss wanazotoa inashabihiana na bei wanayotoa easy tv kwa mwezi.....
 
Tofauti kubwa ni kuwa easy tv wanaonyesha tv zote za kibongo wakati wengine wana baniana.
Kikubwa ni kuwa kwa provider hawa wa sh elf10 kwa mwezi usitegemee kupata chaneli za maana hata siku moja
 
kwa sasa wamepunguza bei kulipia kwa mwezi ni shilingi 9000.Kipo bomba kuliko startimes wanatujazia katuni tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom