Msaada-wapi nitapata king'amuzi cha easy tv

next

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
604
184
Wadau habari za jion, nahitaji kinunua king'amuzi cha EASY TV. Ni wapi kinauzwa, mwenye kuelewa aniuza tafadhari
 
Mkuu nasikia zipo victoria kijtonyama, ukishuka pale ulizia, binafsi sijawahi fika
 
Thank u will do that tofay itself. Hawa jamaa naskia wana package nzuri sana.
 
Mpigie huyu jamaa anaitwa Andrew 0716 501 778 huyu ndio fundi mkuu pale Easy Tv, atakuletea popote ulipo DSM
 
Mafuta hse
Mkwepu street DANICO,
Opp na Dr Khan Hosp,
Sinza Mori just after Meeda bar
 
Thank u guyz. Nimefanikiwa. Jamaa wana package nzuri sana
 
Jamaa nimewapata kati ya moroco na victoria, mkono wa kulia ukitokea moroco wapo ndani ya mgahawa wa kichina, sikjweza kupata jina kwani jpo ktk matengenezo.
 
Jamaa nimewapata kati ya moroco na victoria, mkono wa kulia ukitokea moroco wapo ndani ya mgahawa wa kichina, sikjweza kupata jina kwani jpo ktk matengenezo.
 
Wadau naomba kuuliza kwa kila anae tumia king`amuzi cha Easy tv,kinachakachulika ? maana wanatusumbua sana katika channels 32,ni 13 tu ndio zinaonekana na LC channels zote wametoa,na nalipia kila mwezi.
 
zote zipo ila wewe cjui unaishi maeneo gani maana maana km ya boko au kunduchi unapata channel chache au haupati kabisa.
 
Wadau naomba kuuliza kwa kila anae tumia king`amuzi cha Easy tv,kinachakachulika ? maana wanatusumbua sana katika channels 32,ni 13 tu ndio zinaonekana na LC channels zote wametoa,na nalipia kila mwezi.
Mkuu, tuwekee list ya hizo channel za nje zilizopo ukiacha hizo za local tafadhali. Tunataka kuhamia huko
 
jamani mwenye full info ya hawa jamaaa .. coz naona watu wanasifia.. tushachoka na dstv kwa magharama na startimes kwa kutujazia machanel ya kinaijeria na za newz na dini tu... achilia mbali hizo kwikwi za huo mtandano.. utadhani naangali movie za still picture
 
Thank u guyz. Nimefanikiwa. Jamaa wana package nzuri sana

Helo! Samahani, My Name Is Ameir And I Was Going Through Hii Post About Channels Za Kununua Na Nimeona Watu Including You Mnaisifia Hii Easy Channel.. Nilikuwa Nataka kufahamu just how good it realy is and how many channels wanaonesha na pia kama kuna sport channels(MAD FOOTBALL FANATIC) Je Entertainment Channels??
 
kwa mwezi wanataka karatasi ngapi? mbona hajibu mtu swalli linaulizwa mara 4 na watu tofauti
 
Wana Channel Zipi Na Ngapi? Waliokuwa Na Hii EASY TELEVISION Au Waliowahi Kutumia Pls Nisaidieni..Thank You.
 
Wana Channel Zipi Na Ngapi? Waliokuwa Na Hii EASY TELEVISION Au Waliowahi Kutumia Pls Nisaidieni..Thank You.
Hebu tembeleeni hii thread itajibu baadhi ya maswali yenu ingawa si yote https://www.jamiiforums.com/tech-ga...1342-startimes-vs-ting-ushauri-tafadhali.html

Gharama ya king'amuzi kikiwa na antena yake ni sh 160,000 kufunga ni rahisi ukitaka fundi akufungie unaongeza 20,000
Malipo kwa mwezi ni 10,000.

Channel ngapi na zipi unapata sijui, what i know ni kuwa unapata channel zote za kibongo ikiwemo clouds imeongezwa hivi karibuni,pamoja na channel za majirani zetu kenya na uganda. Pia zipo channel za nje ambazo sinahakika nazo ikiwemo za movies, music,sports,documentary,cartoons etc

kwa wapenda footbal sidhani kama provider hawa wa sh 10,000 kwa mwezi wanaweza kuaford kuonyesha mipira ya maana hasa ligi, labda ubahatishe champion kupitia atn, kbc nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom