Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,423
- 29,084
Wanajamii,
juzi kati nlikua nafanya 'transaction' flani hivi za dola,
Sasa kwakua dola zilikua ni nyingi na nlikua na haraka sikuweza kuzikagua miaka zaidi ya kwamba nilicheki tu kama sio feki.
Sasa kumbe wajanja ''wamenipiga'' kwa kuchomeka noti 2x$100 za mwaka 2003 ambazo hazitumiki.
Sasa kuna popote ambapo naweza kubadili hizi noti?
Au nizigeuze tu mapambo?