wapendwa naomba mnisaidie, wapi wanafundisha tally accounting package ? Ikiwa mitaa ya ubungo hadi mwenge au had tabata itakuwa vyema.

Nenda Highridge Training College karibu na wizara ya utalii makao makuu (mpingo house) wanafundisha vizuri sana tena unapanga muda wako wewe mwenyewe unaokufaa kama upo tayari ni mp nikupe no ya mwl,malipo ni sh 100000 kwa mwezi.
wapendwa naomba mnisaidie, wapi wanafundisha tally accounting package ? Ikiwa mitaa ya ubungo hadi mwenge au had tabata itakuwa vyema.
we ni jinsia gani?mm nipo tabata ila naweza kukufata huko uliko. Nitakupa ujuzi wa tally
nenda University of Dar es salaam Computing center (UCC) wanatoa hiyo course wanaweza kusaidia kwa hilo, angalia kwenye hiyo link utapata jinsi course yenyewe ilivyo.
University of Dar es Salaam Computing Centre Ltd - Services and Solutions - ICT Training
nataraji itakusaidia pa kuanzia.