msaada wandugu

giraffe

JF-Expert Member
Jun 6, 2010
608
196
natumia sm ya express music. niki download kitu kwenye internet inanipa ujumbe.INVALID WEB SETTING
 
Wakati mwingine kufupisha maneno kunasumbua wasomaji alafu kwa faida ya wengine weka tittle yako vizuri ukihusisha model ya kitu unachotaka usaidiwe na tatizo lake, hii inakuwa rahisi hata kwa mtu mwingine kupata kwa kutumia 'search'.
Nenda kwenye settings -->Define access point --> APN name weka tigoweb au internet
 
Back
Top Bottom