Msaada wanasayansi na madaktari tafadhari

Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,516
1,865
Msaada wanasayansi na madaktari tafadhari;

Kuna ukweli kwamba msichana akipita umri wa kuolewa,(zaidi ya miaka 33) husumbuliwa na maradhi ya mara kwa mara yasiyotibika? safari za kwenda hospitali huongezeka au huwa ni tatizo la kisaikologia la kukosa mwenza? wakati mwingine wengi wao wako kwenye NGOs za kudai haki za akina mama, na kuwatibulia walio fanikiwa kujenga familia zao.
 
Back
Top Bottom