msaada wanajf

tunyi

Member
Jan 24, 2012
15
2
mimi ni mwajiriwa mpya idara ya kilimo wilaya ya chato. NINA MASWALI: 1) fedha ya kujikim kwa graduate ni ngapi na kwa sku ngapi.
2) ni kilometa ngapi toka mbozi -mbeya hadi chato- geita.
3) ni tani ngapi za mizigo zinagharamiwa na ni shilingi ngapi?

Tafadhali mwenye informations za uhakika anisaidie. Natanguliza shukurani.
 
Back
Top Bottom