MSAADA WANAJF KUHUSU MECHI YA CHAD Vs TANZANIA

Status
Not open for further replies.

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
743
350
Wadau naomba mnifahamishe kama mechi hii ya Chad Vs Tanzania itakayofanyika tarehe 11/11/2011 kama itarushwa moja kwa moja na kituo chochote cha televisheni hapa Tanzania kwa sababu hawajatangaza.Vilevile nina ndugu yangu yuko Malaysia na yeye anaomba kufahamishwa kama anaweza kuangalia online na ni kwenye website gani?

Jamani samahani sana kwa kuanzisha thread hii ambayo sina uhakika kama nimeileta panapohusika na kama itakuwa nimekosea basi naomba mniwie radhi wadau.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom