msaada: wanajeshi wengi barabaran ubungo na mwenge,kunan?

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
nimepita njia ya ubungo mpaka mwenge kunawanajeshi wa cheo cha Mp.cjajua wanasubr nin,mwenye taarifa atujuze
 
MP.military police,siyo cheo,ila mp anaweza kuwa private,koplo,luteni,n.k.. Labda wanasubiri lifti kwenda kazini. Lakini uelewe everything is possible,ukianza kuwa na watu Usalama wa Taifa ambao wanakaidi amri,ambao wanawindwa ili wafahamike ni nani;katika hali ambayo kuna ubadhirifu na wizi katika Serikali,anything can happen. Wanajeshi wanaweza kuchukua nchi,but SOMEONE has to tell them to do it,kwa sababu wanasiasa ni very clever, whatever problem they are faced with,they will wriggle their way out of it. There is no such thing as a problem kwa mwanasiasa. Thos is the closest we have come to a military coup since January 1964. One thing must be made clear;lazima iwepo unity ya vyombo vya usalama,polisi,wanajeshi,usalama wa taifa; lazima iwepo basic unity,ili nchi iwe na amani.
 
Kwanini wasianze tu ukombozi?

Mi hii Nchi siko mbali kuiasi!
Ngoja nifanye mipango South Sudan!
 
kwanini wasianze tu ukombozi?

Mi hii nchi siko mbali kuiasi!
Ngoja nifanye mipango south sudan!

sasa wee upo india unauliza wa indi wamefuata nini india????? Paele ndio kwao na hao watoto wa gessi hapo ubungo na mwenge ni maeneo ya kwao wapo kikazi 2 kuakikisha amani ipo mdaote kumbe mnatka kundamani alafu waoga poleni sana
 
Jamani napata wasiwasi mno humu ndani kua it has come to this level , someone is asking an important thing here, and needs to be informed but lijitu limekaa kujibu utumbo tu mara kilaza JK mara hiki,

Napata tabu kuamini Huko tunakokwenda Tanzania is gona be failed state if we continue accommodating this kind of people's around us...ni upuuzi kabisa watu humu hujifanya wajuaji sana na hawako objective,

Sasa inamaana gani mtu anataka kujibiwa wewe unaleta Siasa,

Si kawaida Hawa jamaa kukaa njiani tumezoea kuona traffic police sasa kuna watu mbali mbali wengine wanajeshi pengine wanajua waache wajitokeze watuhabarishe wewe hujui tulia unapungukiwa nini kukaa kimya ..

Taifa hili tunatengeneza kizazi kijinga endapo zile disadvantage za hizi forum ambazo hazitoi utambulisho halisi wa mtu,tukiwa sehemu kubwa ya mambo yetu yamejikita katika negativity....

Tujuzeni mnaojua .

Tena wewe ni mmoja wao wanaoipeleka JF pabaya! Kuna post moja Mwalim mmoja katoa matokeo yake ya form4(dvn 1),form6(dvtn 2 na 3.4gpa ya UNVST,Kukansha kuwa si Wote walio katika field hiyo ni wale walofeli, unakumbuka ulimjibu nini? kWAMBA YEYE NI TAHIRA! hufaii kabisa kuwa ktk jukwaa hili la Great thinkers! toa kibanzi katika jicho lako, ndipo utoe boriti katika jicho la mwenzio!
 
Oooh someone's balls just got pinched here!
 
****!

Put your attachment here and facts I'm not that type of critics...I only argue with facts and quotes ...
Weka hadharani acha majungu mdanganyika!

Umekaa ubishi tu...weka facts mtanzania
 
si leo ndio ilikuwa madaktari waandamane au nilisikia vibaya

:israel: So, Wajeda wa TPDF wanahusika vipi na Maandamano ya Ma Dr or wananchi? Nadhani kuzuia maandamano siyo jukumu lao la msingi, isitoshe hawana utalaamu huo na by the way ikitokea wamelazimika kufanya hivyo.....anyway sipati picha yake kwa sasa..! :spy:
 
Jamani napata wasiwasi mno humu ndani kua it has come to this level , someone is asking an important thing here, and needs to be informed but lijitu limekaa kujibu utumbo tu mara kilaza JK mara hiki,

Napata tabu kuamini Huko tunakokwenda Tanzania is gona be failed state if we continue accommodating this kind of people's around us...ni upuuzi kabisa watu humu hujifanya wajuaji sana na hawako objective,

Sasa inamaana gani mtu anataka kujibiwa wewe unaleta Siasa,

Si kawaida Hawa jamaa kukaa njiani tumezoea kuona traffic police sasa kuna watu mbali mbali wengine wanajeshi pengine wanajua waache wajitokeze watuhabarishe wewe hujui tulia unapungukiwa nini kukaa kimya ..

Taifa hili tunatengeneza kizazi kijinga endapo zile disadvantage za hizi forum ambazo hazitoi utambulisho halisi wa mtu,tukiwa sehemu kubwa ya mambo yetu yamejikita katika negativity....

Tujuzeni mnaojua .

Mkuu, ndo maana unaambiwa kwenye msafara wa mamba na kenge wapo. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako
 
Tena wewe ni mmoja wao wanaoipeleka JF pabaya! Kuna post moja Mwalim mmoja katoa matokeo yake ya form4(dvn 1),form6(dvtn 2 na 3.4gpa ya UNVST,Kukansha kuwa si Wote walio katika field hiyo ni wale walofeli, unakumbuka ulimjibu nini? kWAMBA YEYE NI TAHIRA! hufaii kabisa kuwa ktk jukwaa hili la Great thinkers! toa kibanzi katika jicho lako, ndipo utoe boriti katika jicho la mwenzio!

Nipenda hii, jibu papo hapo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom