msaada wanajamvi

WA MAMNDENII

JF-Expert Member
Jun 5, 2010
344
57
jana nimenunua sony digital still camera model dsc- wx1, leo wakati naweka memory stick pro duo camera screen inasomeka error message to reinsert the Memory Stick'' "C13:01:

nimejaribu mara kibao reinsert lakini wapi, naomba tafu kwani kwenye tasnia ya teknolojia ya digitali ni mweupe ile mbaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom