msaada wana JF

Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,359
692
Naomba kuuliza ni gharama kiasi gani kupata mtandao wa internet kupitia vodafone/vodacom USB Modem?

Naomba yeyote ambaye amewahi kuutumia anijulishe gharama zake.
 
Mkuu Maxence naona mzoefu sana kny hizi gharama, kuna thread moja siikumbuki alitoa data nzuri sana za cost, just tafuta thread zake au post zake.........!
 
Walianzia shilingi 400,000 wao walipokuwa wa kwanza kuleta 3G HSDPA USB moderm ile yenye kikamba.
Baadaye wakashusha mpaka 350,000-280,000 na sasa wamezileta hizi nyeupe ziko kama flash zinauzwa less than 100,000/=
 
Asante mkuu
 
Naomba kuuliza ni gharama kiasi gani kupata mtandao wa internet kupitia vodafone/vodacom USB Modem?

Naomba yeyote ambaye amewahi kuutumia anijulishe gharama zake.

Magezi,
Taarifa zote za package za internet walizonazo na gharama zake waweza kuzipata kwenye website yao hii hapa www.vodacom.co.tz
 
Back
Top Bottom