Msaada wana jf

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Habari zenu ndugu zangu, naomba kama kuna mtu mwenye uelewa na mambo ya vyuo vyetu hapa nchini ambavyo hutoa elimu kuanzia ngazi ya degree, nina ndugu yangu amemaliza form six mwaka jana akapata division 3, alikuwa akisoma PCB, na matokeo yake ni hivi Biology=C,Chemistry=E, Physics= F,Bam=S, lakini form four alikuwa na div.1 na alipata B ya chemia, B physics, C biology na C mathematics, sasa
ameogopa kuomba chuo hata kwa course nyingine just because ana F ya physics, naombeni ushauri ndugu zangu ili tumsaidie mawazo huyu mwenzetu.
 
kwa mujibu wa TCU, ili uweze kujiunga na elimu ya juu unapaswa kuwa na principal pass mbili kwa advance leve. Kijana ana C ya biology na E ya chemia. Hivyo hapo anapoint 4, kwa maana ya C ni 3 , na E point 1. KUMBUKA KWA WATU WA SAYANSI ILI UPATE CHUO POINTI ZINAZOTAKIWA NI KUANZIA 2.5 TU KUTEGEMEANA NA FACULT ya chuo husika. Hivyo hakupaswa kabisa kuacha ku apply chuo. Kwa msaada zaidi basi waweza ku download TCU GAIDe kwenye site yao. Ajipange na aombe chuo kipindi kijacho.
 
ahsante sana ndugu yangu kwa maelezo mazuri na matumizi mazuri ya lugha, mungu akubariki sana kazi njema, nami nitamfikishia taarif hizi
 
Back
Top Bottom