Msaada wana jf

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,263
16,287
Ndugu zanguni jana nimeibiwa wallet ndani mlikuwamo kadi za bank na kitambulisho cha kura ,nifanyeje kupata kingine!? Manake ndo id pekee nlonayo
 
Pole sana dada! Unatakiwa kwanza kwenda kuripoti polisi ili uweze kupata documents za kukusaidia kupata nyinyine. Halafu uende benki ukawataarifu makuandalie kadi nyingine! Hapa unaweza kupata msaada kwa kuweka jina kamili lililopo kwenye hizo id na no ya simu ili kama kuna atakayebahatika kuviona akupigie uweze kuvifuata alipo. Pole sana na next time uwe makini hasa unapokuwa umebeba doc muhimu.
 
Back
Top Bottom