MSAADA Wana JF !! Petrol OCTANE rating (RON) kwa Tanzania

JayK

Member
Feb 3, 2012
34
33
​Habari zenu wana JamiiForum..
Naipenda sana hii platform maana kuna wataalam wa kila jambo.
Langu leo ni moja tu?
Naomba kujua Octane rating ya mafuta (PETROL) inayouzwa na vituo vya mafuta hapa Tanzania.
Specifically vituo vya Total, BP na Engine.
Je ni 91 RON, 93, ama 95...
tafadhali naomba Kuwakilisha!!!

Regards
 
Back
Top Bottom