msaada wana jf nitoke mtaani.

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
kiukweli maisha mtaani ni magumu sana tena hasa ukiwa huna kazi. msaada wenu tafadhari ni wa muhimu sana kwangu wana jf....natafuta kazi ya public relation...nina bachelor degree in mass communication na nimehangaika sana kutafuta kazi ila sijabahatika. kwa yeyote atakaeweza kunisaidia nitashukuru. mbarikiwe. 0756517588...thats ma no. or u can just send a pm. thanks in advance.

Marhaba umeshatuma applications wapi na wapi?

Nimetuma sehemu tofautitofauti kama vile, different banks, udom, tanesco, tpa, n othr recruitment agencies lyk, erolink, infinity, airtel, zantel, na sehem nyingine mbali mbali...bt sijabahatika kuitwa.

pole sana,usikate tamaa,na wala usichoke kuziandika hizo application mtu wangu..wewe ni mmoja katika zaidi ya laki moja graduate walio mtaani pasipo ajira kutokana na mfumo mbovu wa utawala,chamsingi unapotafuta ajira usitafute ajira kutokana na elimu au fani yako pekee utajilimit sana katika opportunity...pia jitahidi kukumbuka past network uliyotengeneza toka shule ya msingi mpaka chuo kwani ajira nyingi hivi sasa kina kamlete ndio wanaofaidika nadhan umenipata mkuu... dont give up.
Don

Umeongea vema ndugu, tukomae tu sie tusiokuwa na Godfather...ushauri mwingine ni kwamba jaribu kutuma CV yako pale Taesa(Tanzania employment service agents)...nadhani unapafahamu, karibu na mnazi mmoja(kama upo dar)

Naeza tuma online? kama inawezekana nipe email or website yao. nitafanya hivyo.

pole sana,usikate tamaa,na wala usichoke kuziandika hizo application mtu wangu..wewe ni mmoja katika zaidi ya laki moja graduate walio mtaani pasipo ajira kutokana na mfumo mbovu wa utawala,chamsingi unapotafuta ajira usitafute ajira kutokana na elimu au fani yako pekee utajilimit sana katika opportunity...pia jitahidi kukumbuka past network uliyotengeneza toka shule ya msingi mpaka chuo kwani ajira nyingi hivi sasa kina kamlete ndio wanaofaidika nadhan umenipata mkuu... dont give up.

Don

Nashukuru kwa ushauri ndugu....sitakata tamaa, nitapambana mpaka mwisho naamini ipo siku nitapata.

tafuta shule iufundishe kama vipi...mimi nilifanya hivi kwa miezi miwili ndio nikapata kazi kabla ya kwenda masomoni tena..usichague kazi

Similar Discussions

Back
Top Bottom