Msaada wana jamii

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
422
86
Jamani naomba kujua takwimu za upigaji kura tangu mwaka 1995 mpaka 2010. Yaani angalau namba ya walio jiandikisha na wale walio piga kura. Nikipata na asilimia itakua njema zaidi. Natanguliza shukrani zangu.
 
Back
Top Bottom