Msaada wakuu

Mazingira

JF-Expert Member
May 31, 2009
1,833
298
Wakuu kwa wenye uzoefu,
Je mtu akiwa na Tshs. 100 milioni anaweza kujenga nyumba ya vyumba 4 ya ghorofa moja?
 
Provided tayari una kiwanja, hiyo inatosha kabisa.
Lakina kama na kiwanja umekipigia mahesabu humo humo kwenye 100Ml inategemea na eneo la kiwanja kwani inaweza isitoshe mfano bei ya kiwanja cha mbezi bichi tu ni zaidi ya milioni 90.
 
Asante mkuu. Kiwanja kipo tayari. Unafahamu wapi mafundi wazuri wa kujenga nyumba ya aina hiyo kwa pesa hiyo? Je matofali ni vizuri kufyatua au kununua yaliyofyatuliwa?
 
Mkuu provided kiwanja kipo zinaweza kutosha mpaka finishing kabisa?
 
Asante mkuu. Kiwanja kipo tayari. Unafahamu wapi mafundi wazuri wa kujenga nyumba ya aina hiyo kwa pesa hiyo? Je matofali ni vizuri kufyatua au kununua yaliyofyatuliwa?
Matofali bora kununua,mtafute fundi mzuri anaweza akakuchagulia shm kwenye matofali mazuri.matofali ya kutengeneza mwenyewe garama inakuwa nafuu kiasi ila inabidi utumie mda mwingi kuyaudumia eg maji na inabidi uwe bega kwa bega na uyo anayefyatua kwani bila hivyo mfuko mmoja utatoa matofali 50 ambayo ni mengi sana alafu cement inayobaki mzee anaipeleka sokoni.
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu. Nasikia kuna matofali yanayofyatuliwa kwa mvuke, wanasema yana ubora wa hali ya juu. Sijui bei yake ikoje sokoni kwa sasa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom