white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,308
- 13,271
nawapa heshima yenu,wataalam.web camera ya laptop yangu(toshiba pro satelaite l300)natumia window 7 ultimate imegoma kufanya kazi gafla!nitashukuru.
iongezee mshahara itarudi kazini kama kawanawapa heshima yenu,wataalam.web camera ya laptop yangu(toshiba pro satelaite l300)natumia window 7 ultimate imegoma kufanya kazi gafla!nitashukuru.
iongezee mshahara itarudi kazini kama kawa
Mmmh! Huu ushauri...lolPole sana ndo imekufa hiyo jiandae kununua laptop mpya