msaada wakuu tatzo la keybord ktk laptop yangu.

faszar

Member
Jun 11, 2012
59
4
baada ya kuchange win xp s.p3, baadhi ya keypad hazfanyi kazi kama zlivyopangliwa. Mfano key 2 ipo pamoja na @ ila badala ya @ inakuja ; . Msaada tafadhali.
 
badili tu settings za keyboard. nadhani wakati unainstall operating sys uli chagua keyboard ya uk badala ya us
 
kama unatumia windows 7 nenda kwenye start menu> control panel > Regions and Language > itafunguka dialog box chagua change keyboard, kwa case yako keyboard itakuwa ni English UK wewe badili English US kisha save, nadhani inaweza kuomba urestart, then itakuwa kama unavyotaka faszar na nurbert
 
Last edited by a moderator:

huyu anatumia xp sp3 mkuu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom