msaada wakuu:pc yangu inachelewa kuwaka na inapata moto

Malege

New Member
Jan 30, 2011
4
0
Natumia Hp Pavillion ambayo nimeinstall W7,lakini nikiiwasha ili kuitumia inakuwa nzito kustart na inapokuwa imewaka nikitumia ndani ya dakika 30 inakuwa imechemka hadi sehemu yote ya key board inakera kuigusa,naombeni msaada tafadhali.
 
Pole Mkuu Malege,
huo moto unatosha kupashia mboga? au hata kuchemshia mayai? :biggrin:

:focus: Ok, hebu specify, kabla ya kuweka hiyo win 7, kulikuwa na OS gani, and were there any strange behaviors? nini kilikufanya ubadili?

Na computer yako, ni Pavillion gani? ina ram ngapi, processor je. Hebu fafanua haya ili tujue pa kuanzia.
 
huo moto unatosha kupashia mboga? au hata kuchemshia mayai? :biggrin:
:biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin:

ukiona laptop yeyote inapata joto ujue ni kwamba kuna uchafu kwenye fan na inabidi itolewe. kuhusu mashine kustart taratibu, hayo ni mambo ya kuwa na programs zinazostart na kompyuta nyingi, jambo ambalo limejadiliwa kwenye hii forum mara kibao
 
Thanx mkuu,kwa kuwa mimeisafisha fan naona mabadiliko kiasi ila natumia HP PAVILIONI DV 6000,,32 bit OS 3.00 GB please help
 
Back
Top Bottom