Msaada wakuu,naked woman kaniharibia. . .micro sd,sijui nifanyeje!

Thinker96

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
311
66
habarini wakuu wa jamvi,me ni kijana mwangaikaji sana juu ya technology lakini sasa technology imeamua kunihangaisha kimawazo na kifikra!

Mimi nina memory card yangu niliweka kwenye pc yangu kumbe kuna virus aina ya naked woman sasa nikijaribu kufungua hiyo memory card ambayo nimejaza document zangu nyingi na za muhimu katika maisha yangu ya elimu inanicommand niformat ndo ni proceed,sasa naomba msaada wenu maana kuformat sitaki na siwezi wakuu kazi hiyo kubwa naikabidhi mikononi mwenu na mwenyezi MUNGU awaongoze na kuwapa ujuzi zaidi kwa vile unanisaidia. . .nawategemea wakuu.
 
tafuta pc yenye antivirus ya kueleweka then SCAAAAAAANNN!!! OR..tafuta pc inayotumia ubuntu chomeka humo then toa documents zako zote kisha ndo uiformat!!! simple n' clear!!!
 
Mkuu yaani hainuruhusu kufanya chochote kile inacommand ni format kwanza ndo niendelee yaani kile kitendo cha lightclick kinakubali na ukitaka kuselect chochote kile inakuambia format
 
Mkuu yaani hainuruhusu kufanya chochote kile inacommand ni format kwanza ndo niendelee yaani kile kitendo cha lightclick kinakubali na ukitaka kuselect chochote kile inakuambia format
umejaribu kuweka kwenye pc ingine na ku scan kwanza??
 
Hiyo virus ya naked woman imeingiaje ndani ya memory card? Ulikuwa unabrowse porn?
 
Ukipata program inaitwa USB DISK SECURITY itasaidia.ukiwa umei instal,ukiweka tu hiyo disc itakuonyesha wadudu waliomo na unacomanda DELETE ALL,as simple as that.iwe registered!
 
Ukipata program inaitwa USB DISK SECURITY itasaidia.ukiwa umei instal,ukiweka tu hiyo disc itakuonyesha wadudu waliomo na unacomanda DELETE ALL,as simple as that.iwe registered!

Anaweza kuipata hapa bure. Anachotakiwa ni kuinstall p2p manager eg Torrent.
 
yaani wakuu ni kwamba naboyenya kulia kwenye mouse inaleta kama kawaida detailed informatio,ukienda kwenye scan ina command format inakupa selection yes or no na ukiweka no inakuambia haiwezi kuendelea kupeform task. . .wakuu nifanyeje. . .?
 
Acha kuchanganyikiwa nakurudiarudia maneno tafuta ubuntu itafungua kisha hamisha fail zote halafu fomat
 
ubuntu!
ukipata solution epuka vya bure aka warez aka cracked. warez na porno ni mapacha na virusi na worms
 
simu yangu imezima kabisa yaani imekataa kuwaka kabisa . ilikuwa ina stuck kwa muda ukiiwasha lakini sasa imekataa kabisa . sijui niitupe au nifanyaje wakuu . naomba muongozo wenu . ni nokia ya kawaida .
 
iflash mjomba
 
Back
Top Bottom