Msaada wakuu, kuhusu modem zte mf 190 3.75g ya airtel

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
​Salaam wakuu
mi nilikuwa na modem ya huawei E1550 ya airtel ilikuwa internet ilikuwa fasta sn tu kwa bahati mbaya iakaribika nikalazimika kununua modem mpya za airtel aina ya ZTE MF190 3.75G lakini cha kushangaza hii ukiiconnect network inakuwa slow sana na haifunguki automatically mpk uifungulie kwenye my computer wakati nimeisha install plz kwa mwenye utaalam naomba msaada.
 
jaribu kingia hapa ''Tools - option - network - click registration mode - chagua WCDMA only - click penye manual search - refresh - hightligt celtel 3G - click register - rudijuu click automatic search. then apply kisha OK

IKISHINDIKANA NIJULISHE ILA UWE MAKINI KTK STEP HIZO
 
hii tools mkuu ipo kwenye softwere ya modem au kwenye Pc kama kwenye modem hii tools hamna hata kwenye sehemu ya setting kuna orodha airtel kwa nchi mbalimbali i.e airtel ug ,airtel tz ,nk unachagua nchi yako alafu kwenye Network selection kuna manual na auto,then kwenye auto kuna UMTS ONLY GSM ONLY na AUTOMATIC
 
ingia hapo kwenye modem jaribu UMTS only au zingine na isiwe GSM only hii ipo slow pia jaribu kucheza na hizo bands
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom