Njaa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2009
- 1,013
- 391
Wakuu naomba msaada hapa!!
Kwa muda wa mwaka mmoja sasa natumia window vista na Ms office 2007, ila mwezi wa december computer yangu ili-crash na nikaamua ku-reinstall window. Sasa kila niki-install office (2007) with the same keys (ile ile ya zamani), baada ya siku mbili napata message ya kwamba my office is not Genuine.
Nikajaribu ku-unistall office na ku-install tena nikiwa offline lakini nilipoweka tu kwenye net message ikarudi kuwa my office is not genuine. Sasa wana JF, naomba msaada ili nimkwepe Bill Gate kumpa hela yangu, nifanyeje? may be kuna automatic updates ambazo natakiwa kuzi-off, au jinsi nyingine ya kuinstall office, etc
Pia kwa mwenye keys ambazo ni Genuine please naomba msaada, unajua inatia aibu ukifungua office unakuta chata " office is not Genuine" Hawa jamaa wapo makini sana na ukusanyaji wa mapato.