msaada wakubwa katika hili

dodoso33

Member
Oct 9, 2012
38
11
mbona na jaribu kuappeal lakini nashindwa inaniandika nimeshakuwa already registerd mwenye uwelewa katika hili msaada jamani anipe procedure za kulipia mpaka kumaliza wapi pakuanza na wapi pakumalizia
natanguliza shukrani zangu wakubwa
 
Kwa maelezo yako mimi nimetoka mweupe kabisaa! Hasa hueleweki unataka msaada kwenye nini! Dadavua kidogo ueleweke.
 
Back
Top Bottom