Msaada wako unahitajika...

Asaidiwe kuachana na mzungu au mzungu kashamtema na amedata?ni vitu tofauti!!..I hope madongo ya U-turn kwa Mange yatakuwa yameshamwingia!!
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24, kuna mzungu alitokea kunipenda

Ulijuaje kama anakupenda? Alikuambia anakupenda, au alikuonyesha anakupenda?

Tatizo nyie data zetu hamjui tofauti ya mtu kukwambia anakupenda na kukuonyesha anakupenda. Huyo mzungu amekuambia anakupenda, lakini hakuonyeshi kama anakupenda.

Embu fungueni macho na nyie muone. Sasa hapo unataka ushauri gani?

Tatizo kubwa ni kwamba, unataka uambiwe kitu unachotaka kusikia, lakini ukweli unaujua mwenyewe, na hata sisi tunaujua pia.
 
hivi kumbe huwa ni vitu viwili tofauti eeh.....sikujua
 
Ulijuaje kama anakupenda? Alikuambia anakupenda, au alikuonyesha anakupenda?

Tatizo nyie data zetu hamjui tofauti ya mtu kukwambia anakupenda na kukuonyesha anakupenda. Huyo mzungu amekuambia anakupenda, lakini hakuonyeshi kama anakupenda.

Embu fungueni macho na nyie muone. Sasa hapo unataka ushauri gani?

Tatizo kubwa ni kwamba, unataka uambiwe kitu unachotaka kusikia, lakini ukweli unaujua mwenyewe, na hata sisi tunaujua pia
.

...duuuh, ataethubutu kuja kumposa binti yako cha moto atakiona!
 
unanihakikishia kuwa hakutakuwa na kesi ya mauaji?

ikitokezea bahati mbaya ukiuwa, niPM ,katika memori zangu nakumbuka nilisomea u lawyer university of uzbekistan. nakuhakikishia utaibuka innocent.

N:B , hakikisha mauwaji hayatokei guest za uswahilini
 
Chombo cha starehe tu.
No luv at all.
Soma alama za nyakati kisha chukua uamuzi
Utamsaidiaje huyu binti?...

NIACHANE NA HUYU MZUNGU?

Naomba wadau wanisaidie kwa ushauri,
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24, kuna mzungu alitokea kunipenda na tukawa tunawasiliana kwa internet tu kwani yupo mbali na mimi, urafiki wetu umekuwa ni wa muda mrefu, kiasi kwamba tumetokea kuzoeana sana na kuambizana kila kitu, ahadi ni nyingi alikuwa ameziweka kwangu ikiwemo ahadi ya kunioa, ni mtu wa kusafiri mara kwa mara na ikitokea amepata safari yoyote ya Africa huwa ananitumia Ticket namfuata.

Tatizo langu ni kwamba kila tunapoonana hapendi kuongelea swala lolote la ndoa na pia sijawahi kumwomba hata hela na huwa ananipa kiasi ambacho hakikidhi hata mahitaji yangu ya siku, nimekuwa naumia mwenyewerohoni nikiamini ladba ananipima ajue mimi ni mtu wa aina gani.
Niliporudi TZ last week nikapata tatizo ikabidi nimwombe some amount ili niweze kusolve tatizo langu, nilipomtumia email hakunijibu, na tangu siku hiyo hanipigii simu wala haniandikii tena email kama mwanzo.

Wadau wote naomba ushauri wenu.

Back
Top Bottom