Msaada wako unahitajika hapa

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Nina website sasa kuna mteja kaniambia tangu jana kwamba website haionekani... lkn mimi hapa tz naipata nini inaweza kuwa tatizo na ni fanya je?

msaana wenu ni mhimu sana kwangu
 
Nina website sasa kuna mteja kaniambia tangu jana kwamba website haionekani... lkn mimi hapa tz naipata nini inaweza kuwa tatizo na ni fanya je?

msaana wenu ni mhimu sana kwangu

Tuwekee anuani ya website yako hapa tujue pa kuanzia kutatua tatizo.
 
Nina website sasa kuna mteja kaniambia tangu jana kwamba website haionekani... lkn mimi hapa tz naipata nini inaweza kuwa tatizo na ni fanya je?

msaana wenu ni mhimu sana kwangu

duuh..ebwanaeeeee...kwani hiyo website ume-design wewe?...kama wewe unaiona jamaa haioni...may be ni blind/kipofu...then hili sio tatizo lako..ni lake...lete hiyo website tuione sie wadau then tutakushauri...au kama wewe sio uliyeidesign mtafute aliyedesign na aseme webhosts wake ni kina nani tujue pa kuanzia......ni mawazo tu mzee
 
Hiyo site umesha publishe kwenye mtandao kwako lazima ionekane si iko locally kwenye computer yako unaweza kuiaccess tu

ndugu unatakiwa uwe na domain na host ndio uweze kuplod hiyo site yako katika mtandao ndio mtu anaweza kuona

sasa kama umefanya yote hiyo inawezekana site hiyo ina contents ambazo ni makosa kwenye baadhi ya nchi kama uchina au sehemu za uarabuni
 
Umeiweka lini hiyo website? Kama ni mpya kabisa basi nameserver huwa inaweza kuchua a couple of hours ku-propagate kwenye domain servers zote.

Pia inaweza ikawa kitu cha kipumbavu, labda jamaa mtandao wake mbovu, anaweza kucheki site zengine?

Mimi naiona no problem.
 
hakuna wataalam hapa...? bona kimya

Ndg Crasswise,
Tovuti hiyo inapatikana.
Nimeifungua kwa Internet Explorer na Mozilla na inafunguka bila wasiwasi.
Angalia document niliyoiambatanisha na ujumbe huu.
 
Attachments

  • website.doc
    382 KB · Views: 51
Mbona hii wesite haina tatizo? Au ulitaka kuitangaza kupitia ndani ya JF?
kama ni kutangaza kupitia Jamii natanga angalia kwenye Home Page...Tatizo langu ni kwamba haipatikani China, sasa wewe huko unakoipata ni nchi gani au unanituhumu tu...lkn mimi nataka ufumbuzi wa tatizo langu....
 
Au ulitaka kuitangaza kupitia ndani ya JF?

The farmer jamaa ameomba msaada hakukuwa na sababu ya kuanza kumwambia kuwa alitaka kuitangaza,namfahamu Crashwise muda mrefu si mtu wa kupenda sifa na ujiko,na pia tuwe tunawasaidia wenzetu pale wanapohitaji msaada na sio kuanza maneno ya kejeli
 
kama ni kutangaza kupitia Jamii natanga angalia kwenye Home Page...Tatizo langu ni kwamba haipatikani China, sasa wewe huko unakoipata ni nchi gani au unanituhumu tu...lkn mimi nataka ufumbuzi wa tatizo langu....

Sasa kamanda ungetupa data zote tangu mwanzo ingekua fresh zaidi, mimi niko bongo site naiona, tupe error anayopata huyo jamaa wa china.

China kuna heavy filtering ya websites so labda haijaruhusiwa bado, sijui wanatumia utaratibu gani china, au kama ni site mpya labda haijaingia kwenye DNS server za china bado, au labda host wako yuko blocked kabisa china.
 
Angalia uwezekanano wa kununua static IP, itakugharimu $3.00 per month. hii ni suruhisho kwa matatizo yanayojitokeza mara kwa mara kwa web za kuchangia.
 
Angalia uwezekanano wa kununua static IP, itakugharimu $3.00 per month. hii ni suruhisho kwa matatizo yanayojitokeza mara kwa mara kwa web za kuchangia.
kweli hii ni JF sikujua kama website inapaswa kuwa na static IP daaaaaaa kumbe ni mhimu kivile,Asante kwa ushauri wako je siwe kupata utatuzi wa tatizo hili kwanza wakati nafanya process tha kulipia static IP....
 
Mkuu nimeweza kuifungua hii web site yako hapa UK bila shida, nadhani kwa China kuna taratibu za uzithibiti wa mifumo ya mawasiliano.
 
Back
Top Bottom