Msaada wako una hitajika

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Nina mpaka wa kutuma newsletter kwa wateja wangu zaidi ya 6000 tatizo ni software sahihi ya kutumia kuwatumia nimejaribu kutumia outlook 2003 zimeenda kwa wateja wanne tu sijaelewa tatizo....je nini ushauri wako
 
Inawezekana kutengeneza software inayotuma Emails lakini tatizo ukituma mail nyingi kama hizo itaonekana unafanya spamming na unaweza kuwa blocked na ISP. Kama bado unataka kutumia Outlook (Na assume unatumia exchange server) tengeneza group Email na uwe unaituma ktk hiyo group Email
How To Send Personalized Mass Emails in Outlook
 
Mkuu asante sana kwa link uliyoniwekea ngoja niifanyie kazi lakini inaonekana ndicho ninachokitaka....
 
unaweza set program ambayo itatuma email kwa interval, let say 30 kwa kila saa moja kwa masaa 24 ni mail 720 na kwa siku kumi ni mail 7200. Unaweza ku adjust mail per hour na mambo yakawa shwari.
Tafuta wataalam, wape ulaji wafanye hii kitu :)
 
Back
Top Bottom