Msaada wako mdau

Luthar

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
519
105
Habari za majukumu nimatumaini yangu mu wazima naomaeni kujuzwa jambo kwa mwenye hekima anijibu hivi ukitaka kumjua mwenzi wako kama anaujauzito utajuaje nilikutana naye kimwili tangu tarehe 19,9.2012 embu nijuzeni wataalamu ila mpaka sasa akuna dalili yeyote
 
Mwezi ni wa tisa tarehe 12 Samahani nilikosea tarehe na kuhusu hakuna dalili yeyote
 
hebu andika kiufasaha :
- tarehe yake ya mwisho ya kuingia mwezini ni lini
- ulikutana nae lini
-mzunguko wake una siku ngapi
 
Mwezi ni wa tisa tarehe 12 Samahani nilikosea tarehe na kuhusu hakuna dalili yeyote

hawezi kuwa na mimba....kama siku ya mwisho ilikuwa tar 12 na mkakutana tar 19.....hakuna mimba hapo.......leta circle yake hapa tukudadavulie......
 
Dogo ameshachanganyikiwa anajua mtu kanasa... Dogo andaa hela ya nepi, majukumu hayo yanagonga hodi...

Naogopa kukwambua ukweli as utachanganyikiwa so acha nikudanganye tu hajanasa bado
 
hebu andika kiufasaha :
- tarehe yake ya mwisho ya kuingia mwezini ni lini
- ulikutana nae lini
-mzunguko wake una siku ngapi

tarehe ya mwisho kuona hethi ni 12 mwezi wa tisa na anasema huwa anaonaga tarehe hizi
 
tarehe ya mwisho kuona hethi ni 12 mwezi wa tisa na anasema huwa anaonaga tarehe hizi

Kulingana na jibu hilo hapo juu maana yake ni kwamba mkeo au hawarayo au demu wako nina wasiwasi huenda akawa na mimba au lah..

Aliona hedhi : 12 - 9 - 2012
Urimrenga mama bhoke: 19 - 9 - 2012
Leo ni : 12 - 10 - 2012

1. Naomba unieleze mkeo huwa ana mzunguko wa siku ngapi?
2. Kabla haujamrenga mama bhoke(mkeo), je mkeo alikuwa katoka safari au kutumia vidonge vya kuzuia mimba?
3. Kwa nini usimshauri mwenzio apime mkojo?
 
Back
Top Bottom