Msaada wako kwa huyu mdada tafadhali

Nawasalimu tena kwa mara ya pili wakubwa shikamooni wadogo habari zenu.

Wakubwa naombeni msaada wenu wa mawazo,kuna mdada rafiki yangu na jirani yangu pia mumewe yuko nje ya nchi mie sikujua kumbe ana mwanaume anacheat nae,na ktk uhusiano wao mdada amepata mimba anataka aitoe ili kunusuru ndoa yake,alipomshirikisha jamaa anaecheat nae kuwa waitoe hy mimba jamaa kamjia juu sana na kumwambia hakuna kutoa na wala hajawahi kufanya hivyo! Ajabu sasa jamaa nae ana mke na watoto wanne!kwa sasa jamaa amesitisha mawasiliano yote ya simu na email hadi facebook kablock kisa hataki mimba itolewe,huyu mdada kachanganyikiwa alifanya siri lkn juzi kati hapa ilibidi anishirikishe kutaka ushauri,naombeni mawazo yenu juu ya huu utata wa hawa wenye ndoa.

Sasa kwani hata akitoa hiyo mimba si ataendelea ku-cheat tena.
Halafu kibaya zaidi yeye ni mke wa mtu ancheat bila condom!
Ushauri: Asitoe hiyo mimba na akawe mke wa pili wa huyo anayecheat nae kwani kuua ni dhambi kubwa sana. Ameshaisaliti ndoa yake kwa kucheat. Kaazi kwelikweli wanawake!!:coffee:
 
Nawasalimu tena kwa mara ya pili wakubwa shikamooni wadogo habari zenu.

Wakubwa naombeni msaada wenu wa mawazo,kuna mdada rafiki yangu na jirani yangu pia mumewe yuko nje ya nchi mie sikujua kumbe ana mwanaume anacheat nae,na ktk uhusiano wao mdada amepata mimba anataka aitoe ili kunusuru ndoa yake,alipomshirikisha jamaa anaecheat nae kuwa waitoe hy mimba jamaa kamjia juu sana na kumwambia hakuna kutoa na wala hajawahi kufanya hivyo! Ajabu sasa jamaa nae ana mke na watoto wanne!kwa sasa jamaa amesitisha mawasiliano yote ya simu na email hadi facebook kablock kisa hataki mimba itolewe,huyu mdada kachanganyikiwa alifanya siri lkn juzi kati hapa ilibidi anishirikishe kutaka ushauri,naombeni mawazo yenu juu ya huu utata wa hawa wenye ndoa.

Anachanganyikiwa nini? Hiyo ndiyo faida ya uzinzi.
 
Just relax and be prepare for the outcome za mmeo... Realize that life is a school and you are here to learn. Problems are simply part of the curriculum that appear and fade away but the lessons you learn will last a lifetime. Smile and laugh more. "Two things are infinite: the universe and human stupidity; and I'm not sure about the the universe... You don't have to win every argument. Agree to disagree... She should learn to accept things the way they are, keep your child, no one knows except God... Dhambi huzaa Dhambi...
 
hapa ndio huwa siwaamini kabisa mademu wa kibongo.duh,naombea tu huyo jamaa huko anakosoma apate taarifa mapema aelewe ni mke wa dizaini gani kaoa:sick:
 
Nawasalimu tena kwa mara ya pili wakubwa shikamooni wadogo habari zenu.

Wakubwa naombeni msaada wenu wa mawazo,kuna mdada rafiki yangu na jirani yangu pia mumewe yuko nje ya nchi mie sikujua kumbe ana mwanaume anacheat nae,na ktk uhusiano wao mdada amepata mimba anataka aitoe ili kunusuru ndoa yake,alipomshirikisha jamaa anaecheat nae kuwa waitoe hy mimba jamaa kamjia juu sana na kumwambia hakuna kutoa na wala hajawahi kufanya hivyo! Ajabu sasa jamaa nae ana mke na watoto wanne!kwa sasa jamaa amesitisha mawasiliano yote ya simu na email hadi facebook kablock kisa hataki mimba itolewe,huyu mdada kachanganyikiwa alifanya siri lkn juzi kati hapa ilibidi anishirikishe kutaka ushauri,naombeni mawazo yenu juu ya huu utata wa hawa wenye ndoa.

Kama anitaka ndoa yake anajua cha kufanya huyo dada vinginevyo atakosa vyote.na hilo lijamaa veri selfish, mitoto minne bado anataka mwingine wakati ye katulia na wife..
 
yaani huyo mwanamke ni kilaza kweli kweli, yaani amecheat then amepata mimba halafu anajifikiria afanye nini? huyu inwezekana hana akili timamu, anachezea ndoa yake na huyo kikalagosi wa mwaname anayemdanganya huku akiwa na familia na watoto wake, mwache amsikilize ataendelea kupoteza vyote.
 
Du japokuwa we all make mistake lakn makosa mengine bwana yanatia kichefuchefu sasa walishindwa vp kutumia birth-control method kama waliamua kuchakachuana!

Anywy in UK na baadhi ya nchi zingine abortion is legal for up to 12 weeks pregnancy(namaanisha this is something normal) kwa maana hiyo akienda kwa qualified MD 99.9% mambo yanaweza kwenda vizuri but she has to compare the risk and benefit. If the risk exceed benefit dont take that risk and vice versa.
 
Naona kila mtu anamlaumu huyu dada wakati haya mambo yanafanyika kwa sana tu, watu msiwe mnapenda kupretend jama asilimia kubwa ya watu wanatembea na waume/wake za watu wanapata mimba wengine wanazaa wanasema kitanda si haramu wengine wanatoa mi sioni haja a watu kumlaumu huyu dada as if kafanya jambo baya sana. Nikirudi kwa huyo dada yeye ni mtu mzima anajua nini anataka katika maisha yake so akae afikiri na achukue hatua. hii ishu yake hapa hawezi saidiwa kwani hakuna mtu anaeweza kumwambia katoe mimba watu wanaogopa macho ya watu hapa
 
Kabisa
 
Aisee mtoa mada tuambie mambo yanakwenda je, ushauri uliochagua kuupeleka umepeleka?? Nini matokeo yake??
 
Mkuu tupo pamoja, hapa kilicholeta ajabu ni kuwa jamaa hayupo bongo, vinginevyo angebambikiwa kitanda hakizai haramu,
Mkuu tunaona mitaani, maofisini, na sisi wenyewe tunashiriki hilo tendo la kucheat, kwa mujibu wa tafiti zisizo rasmi sana asilimia 86 ya wanandoa wanacheat katika nchi zinazoendelea kama bongo, nilipata kufanya kazi ofisi fulani yaani watumishi almost wote walikua wanandoa na wote wanachakachuana.
Ndio maana tunasema huyo dada hajafanya maajabu yoyote, achukue uamuzi fasta kunusuru ndoa
 
Am a pro life member.. So no abortion..

Just tell her to give birth.. You know it is a blessing been a mother.. And god will forgive her sin and life will go on.

She made a mistake but abortion will be a sin. U know killing man.

Once she gave birth she will see everything move nicer.. Even if parents are very angry they will just love to be called grands..

Just support her and be there for her to advice..
 
Aisee mtoa mada tuambie mambo yanakwenda je, ushauri uliochagua kuupeleka umepeleka?? Nini matokeo yake??

Hata ningekuwa ni mimi nimeanzisha thread kama hii lazima ningekula kona maana watu wamekuwa wakali ile mbaya!!
 
Nikikupa pole nitakuwa nakosea. Huu msala umejitakia na hayo ndio mavuno ya kutokuwa mwaminifu katika ndoa. Umefanya dhambi ya kuzini, usifanye dhambi nyingine ya kuuwa kiumbe, kumbuka hicho kiumbe sio chako ni cha M/MUNGU. Isitoshe jamaa huko aliko pengine ameshahabarishwa tabia yako mbaya ya kutokua mwaminifu anasuburi akirudi tu-talaka. Au kuna jamaa anasubiri aje amtonye mumeo (Hakuna siri ya watu wawili).Pia anaweza kuja fahamu siku za mbeleni zaidi mambo yakawa soo vilevile!! Hebu fikiri utoe mimba na bado uje kupata talaka.
USHAURI;
Ingia mitini kabla jamaa hajarudi uukalee hiyo mimba, huyo mtoto atakuja kukusaidia baadaye. Mumeo akirudi kama ana mapenzi saaana basi atakutafuta na kukusamehe na atakuwa radhi kumlea huyo mtoto kama wake na huyo jamaa achana nae shetani mkubwa huyo!!!!!

MI binafsi ushauri huu nimeupenda

Saa nyingine Miujiza ya Mungu nashindwaga kuielewa na hakuna aklili ya mwanadamu inayoweza kuielewa kabisa!
 
Du! the situation is so complicated. Japokuwa ni mambo yanayotokea sana katika jamii yetu kwa sasa.

What i can say mshauri, kwanza ajitambue na ajielewe kwamba ameshakosea. Pili mwambie asithubutu kutoa mimba, sio kwasababu ya vitisho vya hilo libaba la ni kwa ajili yake na mtoto mtarajiwa. Tatu, mwambie aileze familia yake kuhusu hilo (anaweza kumwambia mama yake au yeyeote aliye karibu naye katika familia then likajadiliwa) hii ni ngumu lakini vizuri ili apate watu wakumshauri na kuwa naye karibu coz I am sure she is more than just confused which is not healthy anaweza fanya lolote including committing suicide.

Uwezekano wa ndoa yake kusustain ni mdogo sana hivyo ajiandae kulea mtoto wake kwa upendo na amani maisha yataendelea kwani atakuwa amejifunza.
 
Nadhani alitaka amshauri asafiri kwa mumewe akambabikizie:) Sasa kama mimba imepitiliza muwewe atamshtukia.

Wanaume/wanawake wa siku hizi wajanja bana mimi nikikaa mwezi tu bila kumuona wa kwangu nikirudi lazima Angaza ndo mlango wa kwanza tukimaliza hapo jamaa naye anaanza tupite hapo tununue Pregnancy Test ili kama imo nijue si yangu vivyo hivyo nikiondoka au akiondoka. sokumbambikia ni naona kama ni ngumu. Mawazo yangu tu lakini
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom