Msaada wako juu ya tatizo hili la kisaikolojia

.. Possibly post traumatic disorder...? yaani bado uko very negative (hasira, chuki, kinyongo .nk) na kusalitiwa na msichana wako mliyeachana.. Hakisha kuondoa hizo hisia hasi moyoni kwako kwa kumsamehe kwa dhati kabisa ..with total full impact ... all will be ok!!
 
Ni kweli azimio jipya,huwa nna chuki sana pamoja na hasira juu ya hawa viumbe lakn ex gf wng nmemsamehe na kumsahau kabsaa sasa sijui nifanyeje kuondokana na hili tatizo yan imefikia kipindi nmekata tamaa na mapenzi
 
Duh!mi nlidhani nipo peke yang mwenye tatizo km hili kumbe tupo wengi!wadau toeni michango ya kutosha ili tufaidike sote!
 
Jipe muda zaidi kabala hujaanzisha mahusiano............................wenyewe wanasema fanya soul searching! nafsi yako haiko tayari; bado una makovu ya maumivu so unahitaji kujipumzisha at least kwa sasa jitahidi kuw an urafiki wa kawaida nao uwe kwa kiasi ili kusijengeke ukaribu.
 
2b honest,nafsi yang inahtaj kuwa na m2 cz huwa naumia xana nnapowaona wapendanao wakiwa pamoja
 
Duh!mi nlidhani nipo peke yang mwenye tatizo km hili kumbe tupo wengi!wadau toeni michango ya kutosha ili tufaidike sote!

Hili tatzo linatesa xana linaondoa ma2maini ya kupenda
 
Bailisha jina. Neno Mbushuu lina mkosi sana, hutafanikiwa katika maisha ya mapenzi...
 
Duh!kumbe majina yana husika xana kwenye mapenzi eh!?vip jina lako na mahusiano,linasadifu yaliyomo?
 
usitafute msichana kwa kum 'replace'
huyo wako wa zamani..
tafuta 'mbuzi wa alalbadiri' kwanza lol
 
Unataka girlfriend wa nini? labda tuanze hapo. Maana kama unataka girlfriend just because hauna, basi ndio maana hufanyi juhudi za kuhakikisha unapata. Siku utakutana na yule anae kusisimua na unamtaka kweli, utaona mwenyewe unamngangania, bila kuambiwa how to do it!
 
mwambie huyo
 
Wat i suposd 2do ni kukomaa bt huwa nakata tamaa mapema xana nikzan labda ntaumia tena
 
jifunze kusamehe na kusahau. inaonekana ulimpenda sana aliyekutenda, mfute akilini mwako. jipe moyo kuwa bila yeye maisha lazima yaendelee, hakuwa wako.
 
2b honest,nafsi yang inahtaj kuwa na m2 cz huwa naumia xana nnapowaona wapendanao wakiwa pamoja

Na detect desperation kwenye hili na hasara yake ni kuangukia pabaya zaidi kabla mwanzo; my son anajifunza lugha ya mkoloni kaniuliza leo asubuhi "be careful maana yake nini?"....................this is your life we are discussing here, next time you may not be so lucky! Chunga sana!
 
Back
Top Bottom