Ina Hu
Member
- Apr 13, 2012
- 47
- 15
Wanajaamii ninaomba msaada wa haraka wa kisheria ili niweze kumsaidia ndugu yangu wa karibu anayefanya kazi na kampuni ya kigeni.
Kwa ufupi ndugu yangu amefanya kazi tangu mwezi wa 10 mwaka 2009 hadi sasa hivi.
Lakini siku chache zilizopita aliitwa na bosi wake na kupewa taarifa kuwa kazi yake na kampuni hiyo itasitishwa soon, na akapewa muda ajaribu kuangalia atafanya nini baada ya kuachishwa kazi yake na anafikiria nini kuhusu uamuzi huo wa kampuni.
Mimi siko fit juu ya hili ninaomba tumsaidie huyu mtu apate maslahi yake kisheria. Alikuwa analipwa mshahara mzuri tu ki tz maana alianza na usd 1200 na baada ya mwaka kama na nusu akawa analipwa usd 1500 kwa mwezi hada sasa hivi.
Wana jf ninaomba mchanganuo mzuri wa maslahi yake hata kwa lugha ya kingereza haina shida, mchango wenu jamani.