Msaada wakali : Ku unblock website iliyo restricted

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,395
13,358
Asee wakuu ma it wa kampuni yetu wamerestrict jamii na facebook sasa mimi nimefanikiwa kuiiba admini password kabla ilikuwa hata kudown load wamezuia nilipoipata hii nikilog in kuitumia nadownload sasa nataka niunge facebook na jamii..nipeni maujanja ?
 
Asee wakuu ma it wa kampuni yetu wamerestrict jamii na facebook sasa mimi nimefanikiwa kuiiba admini password kabla ilikuwa hata kudown load wamezuia nilipoipata hii nikilog in kuitumia nadownload sasa nataka niunge facebook na jamii..nipeni maujanja ?
unless una access ya server unaweza kuchange hizo setting cause kwa kawaida setting za namna hiyo zinafungwa kwenye server ili network user wote watumie data configuration fromn server, after all ukichange kwenye server itajulikana tu coz utakuwa kila mtu atapata hiyo access na hao waluiofunga watashtukia ishu...so if you are ready...GO TO YOUR SERVER ROOM..AND USE THAT PSSWRD TO LOGING...!!
 
stop using that password. Unajua server inaweza kuwa set ku log activities za admin account. Sasa mwenye akaunti akikuta kuna logs ambazo zinaonesha kuna mtu anatumia akaunti yake ataku trace na akikupata utapata shida. Nakushauri utafute modem uwe una connect kwa ajili ya JF na FB. Gharama yake ni rahisi kuliko password ya admin
 
Tumia ultrasurf,
UltraSurf is a free software which enables users inside countries with heavy Internet censorship to visit any public web sites in the world safely and freely. Users in countries without internet censorship also use it to protect their internet privacy and security. With UltraSurf started, you can use web browsers (like IE, Firefox) the same as before, but all are under UltraSurf's protection now
 
Back
Top Bottom