Msaada wajameni.

DERICK2000

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
203
35
Nna Girlfriend wangu,yuko busy sana..naona kama naanza shindwa kuwa nae.msaada wandugu.Yeye ratiba zake zinabadilika at anytime.Mnaweza mkawa nae mnapata vinywaji.hapo hapo anapigiwa simu anaitwa kazini.nimechoka mwenzenu.msaada please.
 
Huwezi ku hendo presha. achana naye tafuta aliyopo kila mara kama unavotaka.
 
. . .. . . Kitu kikubwa hujasema kama huamini kama ubize wake ni wa mashaka. . . .Lakini pia kwani yupo bize 24/7?Kama hapana presha ya nini?
 
. . .. . . Kitu kikubwa hujasema kama huamini kama ubize wake ni wa mashaka. . . .Lakini pia kwani yupo bize 24/7?Kama hapana presha ya nini?

namuamini tatizo,hayo mau busy too.it is too much
 
unapompenda mtu kunakuwa na sacriface..... Sasa ya ubusy tu inakushinda akiugua utamuuguza kweli wewe?
 
Ndugu, ukikua utaelewa. Mtakapokuwa wanandoa kutakuwa na ubusy wa kila aina, kuna kazi, safari, ugonjwa na wakija watoto ndo utaipata! Na watoto wa siku hizi hawalii hadi wahisi wazazi wanakula good time!
 
shostito unataka kunambia hata saa 8 usiku akipigiwa cm anatoka? na kwaupande wangu kama amekueleze nature ya kazi yake sidhani kama ni tatizo la huyawezi weka manyanga chini wenzio wakusaidie.
 
Back
Top Bottom