Msaada wajameni!

Pole sana, inaonekana huyo dada alikuwa na mpango wa muda mrefu wa kuvunja ndoa yako na mkeo. Hivyo kwa kujilegeza kwako na kuangukia kifuani pake amejikuta kapata sababu ya kufanya alichopanga moyoni. Usikubali kubebeshwa mzigo usio wako hata kidogo, kama walivyoshauri wadau subiri mtoto azaliwa mkacheki dna.

Cha pili, mkuu na wewe unategwaje kirahisi hivyo na mtu anayemuita mkeo mshamba na hasa ukizingatia wewe ndiye unayempa lifti?
Ningekuwa mimi siku hiyo hiyo aliyotamka kuwa mke wangu mashamba ningemshusha!

Tafakari ...
 
Mh kumbe ndo akili yako unakuja kuomba ushauri kusudi uniteme,mbona imekula kwako.
 
kama kweli ulitumia gwanda kwa usahihi muweke wife sawa alafu kamtolee uvivu huyo ni mwizi tu hana lolote
 
Back
Top Bottom