Msaada wajameni!

ldd

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
790
128
Me nmeoa nko na mke wa watto 3, lakini kuna demu anaishi jirani cc, chakushangaza uyo demu kila asbh cku za kz akawa anatym on the way, ikawa ni km kawaida jiran yangu nkawa nnam-pick almost miez sita iv, akaanza niambia shem mshamba,mbona umezubaa sana?

Mara nkajikuta nmemsalita ma wife nkaanza mega kistyle! mwz iliyopta ilibidi niende likizo niweze kumkwepa -maana mida yake ni asbh na jion-so likizo imeisha tar 12-11. Na leo wakati naenda job nkamkuta njian, km jiran nkampa sapoti km kawa,akafika anaposh?

Nimetoka lkzo anasema nmemtesa kwa muda mrefu sana kmapenz yaan mwez 1, na anasema n mjamzto wa miez 2 na mm nlikua nakula na magwanda! nmejariau kumwelewesha naona hanielewi na amesisitiza lazma ntoe ma2mizi vngnevyo atalipiza kisasi kwa wife!

Nisaidien coz ma head z still loading....and networt smtym not available at all...
 
tulizana kijana...kama wewe ulikuwa waenda na magwand basi usiwe na hofu....mwambie haitoki centi mpaka mtoto ajulikane kuwa ni wakwako....tunaenda kwenye dna test shenz type!!!!!
 
Kama wewe ulikuwa unakula na maganda unakuwa na wasiwasi gani,asikuzingue wala nini,cha muhmu mkwepe na usiwe naye karibu sana kama mwanzo,kuhusu hela ya matumizi mpe bt usimwambie niyamatumizi bali ni ya kwake tu.
 
Wacha kwanza tuwekane sawa,leo umempa sapoti kama small house na sio jrani tena!Tukubaliane kwa hilo kwanza.Inawezekana kuna elements za ulegelege ulizionyesha mwanzo,na ndizo zinazompa nguva ya kutaka akulazimishe ukubali kwamba ulimpa bendi wakati anauhakika kwamba si kweli kwa maana mlikuwa mnatumia zana.Kifupi anakuchukulia wewe kama mtu ****.Sasa anza kumbadilkia na kumuonyesha kwamba wewe ni strong!Mwambie wewe hapana taka tena kusikia hizo simulizi zake za kipuuzi.Ukiona bado analeta tishio la kuharibu kwa wife we wahi kwa wife kabla ya yeye<na hapo itabidi stadi za uongo kidogo zitumike kwa wife>.Unatengeneza mazingira kwa wife mapema kwamba kuna mwanamke mmoja kama chizi hivi anajitangazia ushindi kwako wakati si kweli.Hapo hata akienda kuharibu kwa wife some how unakuwa umeshatanguliza kinga flani.Ila ukisha solve hiyo case achana kabisa na small house.Kazi kwako.
 
ukome. Yaani kukwambia we mshamba ndo ukataka kumuonyesha u-mjini na ujanja wako?

Mwambie huyo small hse wako kuwa umekula pipi na ganda asubiri azaliwe kwa test. Ila jiulize kondom haikuwah kupasuka?
 
hahaha!!umeonyeshaa udume na mimbaa ulee,yani we kuonekana legelege au mshambaa,ukaona njiaa nzuri urine asalii,so pambana na nyuki
 
hahaha kuna mambo ya kusadikika hapa , kwa kawaida huyo jirani aka nyumba ndogo ana akili timamu siamini kama ulitumia magwanda muda wote na yeye anaelewa isije ikawa mkuu ulikuwa uliyaweka pembeni ukapiga ngoma live maana &nbsp;urahisi wa kupatikana kwa mtu ndo unaodetermine utumiaji wa magwanda..<br>pia umeonyesha udhaifu mkuu na katika huo udhaifu ndo maana umeletewa matunda ya kutotumia condom, hivyo pokea malipo ya ulichofanya ... anza kuhudumia na mweleze mkeo kwamba ulizini
 
Me nmeoa nko na mke wa watto 3, lakini kuna demu anaishi jirani cc, chakushangaza uyo demu kila asbh cku za kz akawa anatym on the way, ikawa ni km kawaida jiran yangu nkawa nnam-pick almost miez sita iv, akaanza niambia shem mshamba,mbona umezubaa sana? mara nkajikuta nmemsalita ma wife nkaanza mega kistyle! mwz iliyopta ilibidi niende likizo niweze kumkwepa -maana mida yake ni asbh na jion-so likizo imeisha tar 12-11. na leo wakati naenda job nkamkuta njian, km jiran nkampa sapoti km kawa,akafika anaposh? nmetoka lkzo anasema nmemtesa kwa muda mrefu sana kmapenz yaan mwez 1, na anasema n mjamzto wa miez 2 na mm nlikua nakula na magwanda! nmejariau kumwelewesha naona hanielewi na amesisitiza lazma ntoe ma2mizi vngnevyo atalipiza kisasi kwa wife! nsaidien coz ma head z still loading....and networt smtym not available at all...

in red, kuwa mwanariadha haisaidii tatizo halikimbiwi...
huyo mdada anataka kukutumia umuweke mjini, mvalie ngozi ya chui atakuweka mbali tuuu...
 
Kaka ulitakiwa kula sikumoja tu na kutambaa, sasa wewe ukahamia huko!!! wahi kwa wife muandae kupokea maharibifu ili yasiharibu
 
Magwanda?unamaanisha Chadema au? Kaka nina mashaka kuwa we ni mtu mzima tena mwenye watoto 3 source UANDISHI WAKO WA MESSAGE.
 
Magwanda?unamaanisha Chadema au? Kaka nina mashaka kuwa we ni mtu mzima tena mwenye watoto 3 source UANDISHI WAKO WA MESSAGE. Kama ni kweli ulifanya nae usimkimbie subili mtoto azaliwe ili mpime DNA then ikidhibitika wako itakuwa zawadi yako ya kutoka nje ya ndoa ila lea mimba mpaka ikue maana ukiitelekeza laana zitaongezeka zitaanza na huyo nyumbandogo,then mtoto,na mkeo,familia yako,ukoo wako,wanawake wenzie na hata wana jf.
 
Back
Top Bottom