Msaada wajameni-Hamu ya kutamani Mke wa Mtu....

Bazazi we Ke au Me.

Nyamaume, Rijali, Aliyekamaa (full grown-up and matured), aliyefuta ujinga ingaa sio msomi kiviilee lakini mwelewa. Lakini wewe nadhani aidha shoga au unaupenda sana uanauke.KISA: kwanini utumie jina la kike na avatar ya kike? Kila kitu chini ya jua kina maana na kinamaanisha jinsi ulivyo kitabia. Badilika Bandugu
 
Usilo lijua
 
Chunga sana. Wake za watu kaa mbali sana nao. Usiendekeze kutamani bila fikra. Jitambue na chukua hatua kurekebisha tabia hiyo. Mbona wasio na wenza wapo kibao!!! kwa nini usihangaike nao?
 
Back
Top Bottom