Msaada wahitajika hapa

Salanga

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
364
44
Hivi Huyu anayeitwa Mallya ni mchaga wa maeneo gani. Hii yote ni kuepukana na wale wa Machame ...nisaidieni
 
Mallya wanatokea maeneo ya Kibosho paleee penye mbege tamu sana ..kwa Rafaeli kuelekea mango.. Wapo pia maeneo ya Marangu, Kirua vunjo nk. Huko Palestine Land sijawahi kusikia ukoo huu, labda kwa kuhamia.... kwani wamachame wakufanya nini?
 
za kuambiwa changanyaga na zako na wewe,kama umeamini hizi stori za wajinga wajinga wa humu shaurilo!
 
Back
Top Bottom