msaada waheshimiwa

Unkwn

Member
Feb 20, 2012
36
3
mimi ni kijana nliyemalimaza certificate in law mwaka 2010, lakini bado sijafanikiwa kupata ajira popote ..ninawaomba waungwana mnishauri hata pia mnaoweza kunisaidia nikapata ajira nitashukuru sana jamani. Ninashukuru sana
 
Waajiri wengi upenda kuajiri watu walio na uzoefu, nawe kwa sababu huna uzoefu unaweza kuomba kujitolea kwenye mashirika mbalimbali yalioko karibu na wewe, ili kupata uzoefu, uwezi juwa utendaji wako wa kazi unaweza kupendwa ukapata ajira
 
Nenda kamuombe Prof. Safari au Tundu Lisu. Hawa wana ofisi zao ila usisahau kadi ya uanachama.
 
Usikate tamaa bwana mdogo...jiendeleze kielimu coz hapo ulipofika bado ukitaka kupata success kwa field yakooo
 
mimi ni kijana nliyemalimaza certificate in law mwaka 2010, lakini bado sijafanikiwa kupata ajira popote ..ninawaomba waungwana mnishauri hata pia mnaoweza kunisaidia nikapata ajira nitashukuru sana jamani. Ninashukuru sana

Tafuta kazi huku ukiwa wajiendeleza kusoma, bado una safari ndefu, best wishes!
 
Kwa certificate huwezi kufanya kazi yoyote maana huna taaluma ya sheria. Zamani watu kama wewe walikuwa mahakimu wa mahakama ya mwanzo sasa hii haipo tena. Inabidi usome zaidi angalau upate shahada yoyote. Advantage ni kwamba kwa cheti chako unaweza kuingia chuo kikuu.
 
nikwel waheshimiwa nakiri kuwa safari yangu bdo ni ndefu yanibdi kujiendleza kielimu., tatzo kubwa linalonikabili nikutokuwa na fees yakulipia masomo yangu kwan hata mwaka jana nlituma maombi ya kuendlea namasomo pale mzumbe nikachaguliwa lakn tatzo kubwa likawa fedha za kulipia. ndyo maana waungwana nikaamua kutafuta japo kibarua chochote ktakachopatikana ili niweze pia hata kuhimili kulipia fees yachuo
 
Yote uliyoshauriwa hapo juu ni mazuri, sasa changanya na mawazo yako binafsi kisha chukua hatua
 
Back
Top Bottom