Msaada wadau wa IT..

Mfatiliaji

Senior Member
Mar 17, 2011
118
63
Ninafanya installation ya OS CD ya window 7 kwenye computer ya DELL INSPIRON lakini kila inapoanza ku copy windows files(0%) inakaa kama dakika 5 hv halafu inaleta message "windows setup could not reinitialize the deployment engine.To install windows,restart the installation".naombeni msaada wenu tafadhali!
 
Mhmmm!! Umetumia process gani katika kuinstall hiyo windows? Naomba nieleze process uliyoitumia ili nijue jinsi ya kukusaidia
 
Ninafanya installation ya OS CD ya window 7 kwenye computer ya DELL INSPIRON lakini kila inapoanza ku copy windows files(0%) inakaa kama dakika 5 hv halafu inaleta message "windows setup could not reinitialize the deployment engine.To install windows,restart the installation".naombeni msaada wenu tafadhali!

Unafanya fresh installation au una upgrade .

Kama PC haina kitu format kabisa kwanza pc. Tumia Dos kuformat HDD yote

Otheriwise tembela hii site Windows Setup could not reinitialize the deployment engine. To install - Microsoft Answers au gooole huo ujumbe unaweza pata ufumbuzi kwa njia rahisi.
 
Ninafanya flesh installation,nimejaribu kuformat kwa kutumia cd windows 7 lakin sijafanikiwa.ninaweza kuformat vp kwa kutumia DOS.
 
Ninafanya flesh installation,nimejaribu kuformat kwa kutumia cd windows 7 lakin sijafanikiwa.ninaweza kuformat vp kwa kutumia DOS.

Tafuta CD ya Win 98 ili uweze ku-format au atafura ghost image yoyoye huwa ina option ya kuformat through dos command
 
Back
Top Bottom