Msaada wadau:torrent v/s IDM ipi iko poa

Wadau naombeni mnijuze hapo ipi iko pouwa zaidi

Inabidi uwe nazo zote maana zzote zinadownload ila katika situation tofaut

Torrent inadownload kwenye website za torrent tu huwezi download website nyengine,

Na same idm inadownload website zengine ila haidownload torrents
 
good explanation
 
Back
Top Bottom