Msaada wadau kuhusu kamera kwenye nyumba

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
Nataka niweke kamera kwenye nyumba.. sasa nataka kujua bei zake ..kamera kama nne hizi ama tano kuzunguka nyumba .. Najua hapa nitapata msaada na gharama gani nitatumia
 
Mkuu Saint Ivuga...bila shaka utakuwa unaongelea surveillance systems...unauliza bei za nje ili uagize au? kama ndivyo basi hujakosea njia...hapa ndio mahali pake...tuwasiliane kwa PM ili nikupe maelekezo zaidi.
 
Young Master ndio hizo hizo .. Bei za hapa hapa nataka kujua gharama zake , ama hapa bongo hawana hizo service?
 
Last edited by a moderator:

Huku Bongo zipo ila gharama zake zinaweza kutofautiana au kuwa ghali zaidi kwa sababu makampuni mengi ya huku huwa hawaziuzi tu hivi hivi bali huziuza pamoja na kukufanyia installation.
 
Mkuu nitaku-pm nikupatie maelezo na number za ndugu yangu mmoja,yeye anafanya kazi hizo,yuko na kampuny yake anauza na kunstall hayo mambo
 
Ndio sasa nataka kujua gharama zake .. Nitupie inforamation ama nitafutie kijana wangu.. ila usitafute za bei sana si unajua sisi hatuna pesa za mafisadi kaka
 
unachosemea ni CCTV (Closed-circuit television) (CCTV is the use of video cameras to transmit a signal to a specific place, on a limited set of monitors). sasa kama ndo unataka kupiga surveilance kwa nyumba yako, ukiwa una mshiko wa kutosha, ingia duka za electonics (benson & company hapa a.town) na watakusaidia. kama Mungu alikujalia brains kama mie na Young Master, unaweza ukatafuta cameras, build/buy a server, weka program za surveilance (kama Dorgem project) and you're set to go. this way, unaweza save thousands of mullas $$$
 
Asante sana kaka mimi nitakuwa Tanzania kesho kwa hiyo itakuwa makini sana ukinitumia namba za huyo jamaa yako.
 
unachosemea ni CCTV (Closed-circuit television) (CCTV is the use of video cameras to transmit a signal to a specific place, on a limited set of monitors). sasa kama ndo unataka kupiga surveilance kwa nyumba yako, ukiwa una mshiko wa kutosha, ingia duka za electonics (benson & company hapa a.town) na watakusaidia. kama Mungu alikujalia brains kama mie na Young Master, unaweza ukatafuta cameras, build/buy a server, weka program za surveilance (kama Dorgem project) and you're set to go. this way, unaweza save thousands of mullas $$$
Asante sana kijana .. Umenisaidia sana yaani mnazidi kunipa maujanja
 
Ndio sasa nataka kujua gharama zake .. Nitupie inforamation ama nitafutie kijana wangu.. ila usitafute za bei sana si unajua sisi hatuna pesa za mafisadi kaka

Kwa huku bongo siwezi kujua gharama zake mkuu maana sijawahi kufuatilia labda kama ungekuwa unahitaji gharama kwa ajili ya kuagiza then hapo ningeweza kukusaidia.
 
unachosemea ni CCTV (Closed-circuit television) (CCTV is the use of video cameras to transmit a signal to a specific place, on a limited set of monitors). sasa kama ndo unataka kupiga surveilance kwa nyumba yako, ukiwa una mshiko wa kutosha, ingia duka za electonics (benson & company hapa a.town) na watakusaidia. kama Mungu alikujalia brains kama mie na Young Master, unaweza ukatafuta cameras, build/buy a server, weka program za surveilance (kama Dorgem project) and you're set to go. this way, unaweza save thousands of mullas $$$

Asante sana kaka kwa maujanja. Nitazingatia sana ushauri wenu
 
asante pia kwa maneno yako. am sure ukimtafuta Young Master (simjui ila kwa kuona advise zake hapa JF,) am pretty sure anaweza kukufungia kitu basic kama unachotak ni ya home purposes only. at most unahitaji camera za webcam na computer moja nzuri
 
Last edited by a moderator:
wakuu... cctv kwa nje sawa ila msiingie kumonitor wake zenu. zitawavunjia ndoa
 
Back
Top Bottom