Msaada wadau juu la ongezeko la Mshahara ( Wizara ya Afya )

sangwine

Senior Member
Jun 16, 2013
144
45
kwa anayejua juu ya ongezeko la msharahara wa Wakunga na wauguzi walio katika wizara ya afya..
Kuna mtu anasema mtu anaekaa zaidi ya miaka 4 anaweza ongezewa mshahara mara mbili ya awali.. Je hii ni kweli..?
 
kwa anayejua juu ya ongezeko la msharahara wa wakunga na wauguzi walio katika wizara ya afya..
Kuna mtu anasema mtu anaekaa zaidi ya miaka 4 anaweza ongezewa mshahara mara mbili ya awali.. Je hii ni kweli..?
du,mwezentu waishi dunia gani?uengezewe mshahara asilimia 200,,,,,,,,,,,,,,,,tumia common sense,kwanza hata huo mshahara bado haujaongezwa.
 
Back
Top Bottom