msaada wa window 7 utlimae prouct keyz

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
wadau nina ka pc kangu niliwekewa win 7 ultimae na mjasiliamali lkn baada ya mwezi mmoja pc inaniandikia kuwa your window is not genuine ,mara you may be a victim of softwere counterfainting alafu hakubali sceensever yoyote,nimefuatilia thread moja humu nikapata key za beta,menterprise,home basic na premeum lkn zo zimegoma kwa wataalam naombeni msaada wenu.
 
mwombe huyo jamaa katika thread yake ya click for sftwr na keyz jamaa atakusaidia au google utorrent weka hiyo softwere uweunadownload kila kitu bure!!
 
Jaribu hizi 3YDB8-YY3P4-G7FCW-GJMPG-VK48C, nipe majibu kama kuna tatizo
 
Ina maana hiyo windows sio genuine. Inakubidi ukanunue genuine mkuu
 
Kununua ni sawa lakini hapa utaipata tu na wala usisumbuke kutoa mijihela yako, jf ni msaada mkubwa :A S-key:
 
Tafuta kitu inaitwa Win 7 Crack, ni mwisho wa matatizo, unainstall kwisha hiyo habari ya not jinuini!
 
wadau nina ka pc kangu niliwekewa win 7 ultimae na mjasiliamali lkn baada ya mwezi mmoja pc inaniandikia kuwa your window is not genuine ,mara you may be a victim of softwere counterfainting alafu hakubali sceensever yoyote,nimefuatilia thread moja humu nikapata key za beta,menterprise,home basic na premeum lkn zo zimegoma kwa wataalam naombeni msaada wenu.

Alafu ukipewa key utafanya nini? window 7 sio kama windows XP. You better undertand how Windows 7 activation na keys zinavyofanya kazi kwanza.?

Sababu kuctivate online system itagundia hizo keys zishatumika.

Una option mbili au zaidi

  • Nunua valid lpriduct kama una hela.
  • Tafuta windows 7 activator . Hii ni software wametengeza wajanja kuwasaidia watoto wakulima kutumia windows 7. muulize au mpm jamaa anaitwa paulss alifanikiwaje kwa mbinu hii. atakumbia wapi pa kupata suluisho
Hope umeelewa.
 
Maungila,
Kama uko Dar nitumie ujumbe katika PM, weka namba ya simu ili iwe rahisi kuwasiliana. Utapewa Windows 7 genuine pamoja na activator yake BURE.
Kazi njema
 
Nipo mkoa mkuu ngoja nijaribu option za wadau wengine nione itakuwaje hata hvo nashukuru kwa msaada mpk hapo nimeshapata kitu.
 
Alafu ukipewa key utafanya nini? window 7 sio kama windows XP. You better undertand how Windows 7 activation na keys zinavyofanya kazi kwanza.?

Sababu kuctivate online system itagundia hizo keys zishatumika.

Una option mbili au zaidi

  • Nunua valid lpriduct kama una hela.
  • Tafuta windows 7 activator . Hii ni software wametengeza wajanja kuwasaidia watoto wakulima kutumia windows 7. muulize au mpm jamaa anaitwa paulss alifanikiwaje kwa mbinu hii. atakumbia wapi pa kupata suluisho
Hope umeelewa.

Here aim mkuu, and that is what you have to do
kwanza nenda hapaDownload - µTorrent - a (very) tiny BitTorrent client pakuwa uttorent kisha install katika pc yako.

Kisha nenda hapa Windows 7 and Vista Activator - 32bit / 64bit - Ultimate, etc... (download torrent) - TPB soma maelezo yake na reviews ukiridhika click "download this torrent",automatic ita kuprompt kuchagua kudownload na uttorent, kubali na uttorent itapakuwa hiyo Activator.
Baada ya kupakuwa nenda ktk hiyo software kisha click kuifungua na itakuletea kitu kama hii na music kwa mbali

laegkaacm.jpg

Just click Activate, itafanya mambo yake kisha pc ita restart, ikiwaka windows activated
Angalizo: fanya backup ya vitu vyako in case anything going wrong, pia baadhi ya antivirus zinaweza kuiblock hivyo turn it off
 
SALUE MKUU...!NIMEFUAA MAELEKEZO YAKO KWA UFASAHA NA NIMEFANIKIWA VIZURI SANA KWELI JF NI SHULE TOSHA.:smile:
 
Ahsante Paul, hata mimi nina tatizo na Windows 7 yangu, nimefuata maelekezo na nimepakua utorrent, ila waxenzy wamekata umeme na wireless imehama,.. Nitaendelea midamida!
 
Back
Top Bottom