MSAADA WA WEBSITE CHUO CHA CDTI (community dvt training institute)

ASHRAF YAHYA

New Member
Jul 2, 2012
4
0
guys nimetafuta details za chuo hiki hakuna cha maana mbali na li website la kitoto kuna nyingine na kama ipo naomba mtu anisaidie maana nimechaguliwa hapo na mpka xaxa ccjui tunatakiwa ku report lini pleas naomba msaada wenu
 
nikiingia hakuna info yoyote yan cjui hata na fanyaje yan,hupat mwanga juu ya chochote kutoka hapo chuo tofaut na mfano cbe ukizamia unakuta dtails nyingi lakn hao utakuta logo lao tu ukijarib kuingia kwa facilities ndo unaambiwa kushnei ELIM YA BONGO KAMA NETWORK ZA SIM
 
Back
Top Bottom