Msaada wa wakili wa serikali kunitetea katika shauri la madai lililotokana na jinai.

Morrison

Senior Member
Jun 6, 2012
102
17
Wana-Jf, nisaidieni. Je, naweza kupata msaada wa wakili wa serikali kunitetea katika shauri la madai katka mahakama ya rufaa ambalo lilianza kama jinai dhidi ya mrufani?
 
Back
Top Bottom