Msaada wa ukweli

Nothing4good

Senior Member
Feb 19, 2011
180
55
Napenda kumshukuru huyu kaka aliyeweka namba yake kwenye thread ya natafuta mpenz na wale wote wenye tabia ya kuweka no za simu kanisaidia sana huwezi amini nilikua nikitamani sana kuingia humu lakini nilikua siwezi.nawasalimu sana wana jf KHABARIII YA HAPA!! Ingawa namba yako uliiweka kwa madhumuni mengine sorry
 
Karibu sana,habari ya hapa ni njema....naitwa Michelle......ujisikie huru kabisa!!!
 
Nathing4good ume-misuse namba ya mtu. ni vema umeligundua hilo ukaomba msamaha. mwenzio kaweka kutafutia mchuchu wewe unamuulizia kujiunga JF..................
Anyway, karibu sana
 
Napenda kumshukuru huyu kaka aliyeweka namba yake kwenye thread ya natafuta mpenz na wale wote wenye tabia ya kuweka no za simu kanisaidia sana huwezi amini nilikua nikitamani sana kuingia humu lakini nilikua siwezi.nawasalimu sana wana jf KHABARIII YA HAPA!! Ingawa namba yako uliiweka kwa madhumuni mengine sorry

mi sijaelewa jamani.....hiyo namba imekusaidiaje?
 
Preta, mi nilivyoelewa alimpigia simu kuulizia jinsi ya kujiunga JF

asante dear kwa kunielewesha.....lakini mpaka akaweza kuiona hiyo namba ya simu si alikuwa keshaingia JF?....well....yote ni kheri.....karibu mjengo wa JF mgeni
 
nadhani alikuwa msomaji tu,alikuwa hajui namna ya kuposti nk
 
Ulimbipu halafu akakupigia. Ehe dada unasemaje?
Ooh! Samahani wewe nimeona namba yako jf unatafuta mchumba, kwahiyo mimi nimeona nikubip ili unielekeze namna ya kujiunga.....
Khaaa! Mbona haijakaa njema.
 
Yaani wewe unanikuna na majungu yako ya kizushi NAKUPENDA BURE NITAKUPIGIA SIKU MOJA NAMI NIANZE KUJIELEZA
 
Back
Top Bottom