Msaada wa ukokotoaji wa kodi kwa magari

Status
Not open for further replies.

Nyangomboli

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
3,501
1,955
Wakuu, natamani ku bid gari la mwaka 2004 ambalo ni la ubalozi. Ni TOYOTA LANDCRUISER, SUBARU FORESTER. Nikibid kwa mfano M4 kwa kila moja au mojawapo wa hayo hapo juu, ushuru unaweza kuwa kiasi gani? Natanguliza shukrani zenu. yameingia nchini mwaka huo wa 2004. naogopa kuingia kichwakichwa TRA wasije nitoa kamasi. Thanks in advance wakubwa.
 
Jaribu na hii xls.sheet
 
Attachments

  • CAR IMPORTATION.xlsx
    12.7 KB · Views: 111
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom