Msaada wa ufafanuzi

mdati

Member
Nov 7, 2011
8
1
wadau mimi nina umri wa miaka 35 baada ya kupata matatizo ktk kufaidi tendo la ndoa nimeamua kutahiriwa(kukata govi), NAOMBA UFAFANUZI WENU WANA JF ITANICHUKUA MDA GANI KWA BUNDUKI YANGU(UUME) KUPONA NA KUANZA KAZI IPASAVYO?.
 
wadau wenye more experience naomba mnipe maelekezo
 
wadau mimi nina umri wa miaka 35 baada ya kupata matatizo ktk kufaidi tendo la ndoa nimeamua kutahiriwa(kukata govi), NAOMBA UFAFANUZI WENU WANA JF ITANICHUKUA MDA GANI KWA BUNDUKI YANGU(UUME) KUPONA NA KUANZA KAZI IPASAVYO?.

Ilikuaje mpaka umri huo hujatahiriwa!!. Hebu tupe maexperience basi wanawake uliokutana nao ukiwa hujatahiriwa................
 
Dah, Kwa Vile Ngozi Imekomaa Sana Utatahiriwa Katika Kigogo cha Buchani, Yaani Shoka Moja Govi Chini linagombaniwa na mapaka wa Muhimbili.
Kuhusu Kupona Watu waliokomaa hupona haraka kwa vile wanakuwa ni waangarifu zaidi ktk kidonda hivyo hata ndani 3weeks, lakini ni lini utaanza kuchakachua nakushauri ufuate ushauri kutoka kwa Daktari atakaye kukata maana ndiye atayejua zaidi hali ya maendele yako kwa ujumla, zingatia sana maana ukifumua tunakurudisha ktk kigogo tunaichuna yote maana utakuwa unatusumbua.
Tusitafutane Mkuu Mimi nakushauri 2 kwa heri!
 
Back
Top Bottom