Msaada wa tafsiri tafadhali

dropingcoco

Senior Member
Jun 21, 2008
124
11
Wadau ninaomba msaada wa tafsiri ya maneno haya kwa kiingereza

Fenesi
Tope tope
Stafeli
Kweme

na pia namna ya kusema 'Thanks in advance' kwa kiswahili

Asanteni
 
Wadau ninaomba msaada wa tafsiri ya maneno haya kwa kiingereza

Fenesi
Tope tope
Stafeli
Kweme

na pia namna ya kusema 'Thanks in advance' kwa kiswahili

Asanteni

Fenesi: jackfruit,

Stafeli: Custard apple, or bullock's heart or bull's heart

Kweme: Oysternut
 
Nimejaribu google translater....this is what i got:
Fenesi = Fenesi
Tope tope = Mud mud
Stafeli = Stafeli
Kweme = Meme
 
Wadau ninaomba msaada wa tafsiri ya maneno haya kwa kiingereza

Fenesi
Tope tope
Stafeli
Kweme

na pia namna ya kusema 'Thanks in advance' kwa kiswahili

Asanteni

yaani hiyo kweme pamoja na kupata tafsiri ya kingereza bado sijaambua ni kitu gani ?
 
Ugavi = Kugawanya kwa usawa. (Division)

Ugavi = kugawa au kugawanya tu na si lazima iwe sawa - hata huo umeme haugawiwi sawa

...............................................

Amani yetu inatumiwa vibaya
 
yaani hiyo kweme pamoja na kupata tafsiri ya kingereza bado sijaambua ni kitu gani ?

Mwanamama Nambari Wani makweme yanapatika kwa wingi kwenye milima ya kule kwetu, ngoja nikutafutie picha au nikupeleke ukayaone laivu?
 
Firstlady mkweme huo hapo - ndani ya hilo tunda ndio kuna makweme yenyewe, ukiyaungia mboga utajiuma vidole - utamu hadi kisogoni:

SDC10200.JPG
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom